Michezo
Simba yamteua Mels Daalder kuwa Skauti Mkuu
Klabu ya Simba imemteua raia wa Uholanzi, Mels Daalder kuwa msaka vipaji (Skauti Mkuu) wa klabu hiyo ikiwa ni sehemu ya mkakati ...Tanzania, Kenya na Uganda zawania uwenyeji AFCON 2027
Rais Samia Suluhu Hassan amesema Serikali kupitia Wizara ya Utamaduni Sanaa na Michezo kwa kushirikiana na Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania ...Rais Samia apandisha dau hadi milioni 20 kwa kila goli kwa Yanga
Rais Samia Suluhu Hassan ametangaza kuongeza fedha za motisha kwa timu ya Yanga kutoka TZS milioni 10 hadi TZS milioni 20 kwa ...Serikali yapeleka mashabiki 55 wa Yanga Afrika Kusini
Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo imegharamia usafiri wa mashabiki 55 wa timu ya Yanga kwenda Afrika Kusini katika mchezo wa pili ...TFF yawafungia Kitumbo na Ulimboka kujihusisha na soka maisha
Kamati ya Maadili ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) imewafungia maisha wanafamilia wawili kutojishughulisha na mpira wa miguu ambao ni ...Ahmed: Wachezaji wanadai posho, ila sio sababu ya kufungwa
Afisa Habari wa Simba SC, Ahmed Ally amesema kuchelewa kwa madai ya posho za wachezaji katika michezo kadhaa si sababu ya timu ...