Michezo
Rais Samia apandisha dau hadi milioni 20 kwa kila goli kwa Yanga
Rais Samia Suluhu Hassan ametangaza kuongeza fedha za motisha kwa timu ya Yanga kutoka TZS milioni 10 hadi TZS milioni 20 kwa ...Serikali yapeleka mashabiki 55 wa Yanga Afrika Kusini
Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo imegharamia usafiri wa mashabiki 55 wa timu ya Yanga kwenda Afrika Kusini katika mchezo wa pili ...TFF yawafungia Kitumbo na Ulimboka kujihusisha na soka maisha
Kamati ya Maadili ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) imewafungia maisha wanafamilia wawili kutojishughulisha na mpira wa miguu ambao ni ...Ahmed: Wachezaji wanadai posho, ila sio sababu ya kufungwa
Afisa Habari wa Simba SC, Ahmed Ally amesema kuchelewa kwa madai ya posho za wachezaji katika michezo kadhaa si sababu ya timu ...Odds Kubwa Wikiendi Hii Meridianbet ni Mwendo wa Kutiki Tu
Ligi nyingi zinaelekea ukingoni huku timu zote zikipambana kutopoteza michezo yao iliyosalia, Meridianbet inakufanya ufurahie wikiendi yako kwa odds kubwa pamoja na ...