Michezo
Mwanariadha wa Tanzania ashinda ubingwa wa dunia
Mwanariadha wa Tanzania, Alphonce Simbu ameshinda medali ya dhahabu katika mbio za riadha za wanaume kwenye mashindano ya Riadha ya Dunia ya ...Vodacom Tanzania na Don Bosco wazindua mpango wa kuwainua vijana na kuendeleza mpira wa kikapu ...
Vodacom Tanzania PLC imesaini ushirikiano na Shirika la Salesian of Don Bosco Kanda ya Tanzania na kuzindua mfululizo wa mipango inayolenga kuwawezesha ...Dabi ya Simba na Yanga kuchezwa Septemba 16
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limesema mashindano ya Ngao ya Jamii yatahusisha mechi moja ya Yanga na Simba itakayochezwa Septemba ...CHADEMA yaitaka Yanga irudishe milioni 100 iliyoichangia CCM
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) imeitaka Klabu ya Yanga irudishe kwenye mfuko wa klabu TZS milioni 100 iliyokichangia Chama cha Mapinduzi ...Yanga: Mchango wa milioni 100 ulitoka GSM Foundation
Klabu ya Yanga imesema mchango wa TZS milioni 100 uliotolewa kwa Chama cha Mapinduzi (CCM) ulitolewa na taasisi ya GSM chini ya ...CAF yaipiga faini Kenya milioni 127 baada ya mechi na Morocco
Shirikisho la Soka Kenya (FKF) limepigwa faini ya Dola za Kimarekani 50,000 [TZS milioni 127.8] kwa makosa ya kiusalama katika mechi dhidi ...








