Michezo
Rais amzawadia milioni mbili Dullah Mbabe kwa mchango wake kwenye ngumi
Rais Samia Suluhu amempa zawadi ya shilingi milioni mbili bondia wa ngumi za kulipwa nchini, Abdallah Pazi maarufu Dullah Mbabe licha ya ...Bosi Manchester United aahidi kushirikiana na Tanzania kukuza na kutangaza utalii
Mmoja wa wamiliki (co-owners) wa vilabu vya michezo vya Manchester United ya Ligi Kuu ya Uingereza (EPL), klabu ya soka ya Nice ...Ally Kamwe, Mazanzala waitwa Kamati ya Maadili TFF
Kamati ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi imewapeleka kwenye Kamati ya Maadili ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Afisa Habari wa Yanga ...Ligi Kuu ya NBC kurejea mwanzoni mwa mwezi Februari
Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imetangaza kurejea kwa michezo ya Ligi Kuu ya NBC katika juma la kwanza la Februari, 2025 ...Sababu za CAF kuahirisha mashindano ya CHAN hadi Agosti 2025
Shirikisho la Soka la Afrika (CAF) leo limetangaza kuahirisha Mashindano ya Mataifa ya Afrika ya TotalEnergies CAF (CHAN) Kenya, Tanzania, Uganda 2024 ...Bodi yatangaza kusimama kwa Ligi Kuu NBC kwa miezi miwili
Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imetangaza kusimama kwa michezo ya Ligi Kuu ya NBC hadi Machi 1, 2025 itakaporejea kwa michezo ...