Michezo
Waziri aagiza Simba iandikiwe barua viti vilivyong’olewa vilipwe
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Profesa Palamaganda Kabudi amemuagiza Katibu Mkuu wa Wizara hiyo kuwaandikia barua Simba SC juu ya ...Timu ya Taifa ya Nigeria yasusia mechi ya kufuzu AFCON
Timu ya Taifa ya Nigeria imeamua kutocheza mechi ya kufuzu Mashindano ya AFCON 2025 nchini Libya dhidi ya Mediterranean Knights baada ya ...BASATA yalaani tukio la Zuchu kutupiwa vitu jukwaani
Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limelaani tukio lililovuruga utumbuizaji kwa mwanamuziki Zuhura Othman Soud (Zuchu) baada ya kutupiwa vitu jukwaani na ...Vodacom Tanzania yamkaribisha Nwanko Kanu ‘Twende Butiama’
Taasisi ya Vodacom Tanzania Foundation imemkaribisha nchini Tanzania, gwiji wa Soka Barani Afrika kutoka nchini Nigeria, Nwankwo Kanu, katika ziara ya mbio ...Mwanariadha wa Uganda achomwa moto na mpenzi wake
Mwanariadha wa nchini Uganda, Rebecca Cheptegei (33) amelazwa katika hospitali moja nchini Kenya, baada ya kudaiwa kumwagiwa petroli na kuchomwa moto na ...Waziri Ndumbaro amuongezea adhabu ya faini Babu wa Tiktok
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Damas Ndumbaro ameongeza adhabu ya faini kutoka shilingi milioni 3 hadi milioni 5 msanii Seif ...