Michezo
TECNO kuwapa furaha Watanzania msimu wa Sikukuu na Kombe La Dunia
‘’Tunajua Kombe la Dunia ni la kusisimua lakini msimu wa Krismasi na likizo unakuja, je, unafikiria nini unaweza kumpa mpendwa wako? TECNO ...Morrison asimamishwa Yanga kwa utovu wa nidhamu
Mchezaji wa Klabu ya Yanga, Benard Morrison anadaiwa kusimamishwa na Kocha wa klabu hiyo, Nasreddine Nabi kutokana na utovu wa nidhamu. Taarifa ...ODDS za Leo Meridianbet ziko kama Hivi
Ni siku nyingine tena ya kushuhudia mbungi ikipigwa kwenye viwanja mbalimbali Qatar, ni mechi za kufunga mwezi Novemba na kuukaribisha mwezi wa ...Kamati ya TFF yaiondolea adhabu Singida Big Stars
Kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) imeiondolea Klabu ya Singida Big Stars (SBS) ...Kamata Odds kubwa kutoka Meridianbet Special kwa Kombe la Dunia
Siku ni Jumatatu na Jumanne wakati ambao wengi wanakuwa kwenye mihangaiko ya kutafuta chochote kitu, ili mkono uende kinywani, sikia mdau! Meridianbet ...Vigezo 6 vinavyozingatiwa kwa wagombea uchaguzi Simba SC
Kamati ya Uchaguzi Simba imesema yeyote ambaye anagombea nafasi ya Uenyekiti wa Klabu ni lazima awe na angalau shahada na lazima awe ...