Michezo
Uwanja mpya wa mpira Arusha kupewa jina la Rais Samia
Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo, Gerson Msigwa amesema uwanja mpya wa michezo utakaojengwa mkoani Arusha unatarajiwa kupewa jina ...Uwanja wa Jamhuri, Morogoro wasimamishwa kutumika Ligi Kuu
Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imesitisha matumizi ya uwanja wa Jamhuri, Morogoro urushaji wa matangazo mubashara ya runinga. “Klabu ya Simba ...NMB, Yanga wazindua Kadi Maalum za Wanachama zenye bima za mamilioni
BENKI ya NMB na Klabu ya Yanga kwa kushirikiana na MasterCard Intenational, wamezindua Kadi Maalum ya Wanachama wat imu hiyo ‘NMB, Yanga ...Kocha wa Taifa Stars afungiwa na CAF
Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) limemfungia kocha wa Taifa Stars, Adel Amrouche mechi nane kufuatia kauli zake kuwa Morocco inaushawishi ...Amchoma kisu aliyekuwa mkewe pamoja na mpenzi wake mpya
Maafisa wa Polisi katika Kijiji cha Muguga, Kaunti ya Kiambu nchini Kenya wamemkamata mwanamume mwenye umri wa miaka 43 ambaye inasemekana alivamia ...FIFA yaifungia Biashara United
Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA) limeifungia kusajili klabu ya Biashara United mpaka itakapomlipa aliyekuwa mchezaji wake, Tayo Odongo. Taarifa ...