Michezo
Ufafanuzi wa TFF kuhusu usajili wachezaji wa kigeni
Kutokana na sintofahamu inayoendelea baada ya Klabu ya Yanga kuzuiwa usajili wa mchezaji Tuisila Kisinda na Shirikisho la Mpira wa Miguu (TFF), ...TFF yamzuia Kisinda Yanga
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limeiandikia barua Klabu ya Yanga ikiwazui kumleta winga wao nchini, Tuisila Kisinda kwa madai kuwa ...TPLB yavionya vilabu kuacha vitendo vya kishirikina uwanjani
Kamati ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi ya Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imezitaka klabu zote kuacha mara moja kufanya vitendo ...Kocha wa Taifa Stars aondolewa
Shirikisho la Mpira wa Miguu (TFF) limefikia makubaliano ya kumuondoa Kocha wa Taifa Stars, Kim Poulsen kwenye benchi la ufundi pamoja na ...Cesar Manzoki atimkia China
Klabu ya Vipers Sports Club imethibitisha kuwa mshambuliaji wake, Cesar Manzoki amekamilisha uhamisho wa kujiunga na klabu ya Dalian Pro FC inayoshiriki ...Ihefu kuvaana na Namungo Ligi Kuu Bara
Mzunguko wa pili wa ligi ya NBC rasmi kuanza leo ambapo utawakutanisha Ihefu FC na Namungo FC katika uwanja wa Uhuru majira ...