Michezo
Simba, Yanga kumiliki viwanja vyao ndani ya miezi sita
Klabu ya Simba na Yanga zimeahidi kumiliki viwanja vyao wenyewe ndani ya miezi sita ikiwa ni baada ya agizo la Waziri wa ...TFF kukagua mikataba ya timu za Ligi Kuu
Kamati ya Leseni za Klabu ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) imeanza ukaguzi wa klabu za Ligi Kuu, ukaguzi utakaofanyika ...Karia: Mimi siyo mwanachama wa Simba
Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania, Wallace Karia amekanusha madai ya kuhusishwa kwamba yeye ni mwanachama wa Simba. Akizungumza katika ...Bodi ya Ligi yaruhusu wachezaji 12 wa kigeni kwenye mchezo mmoja
Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imeongeza idadi ya wachezaji wa kigeni wanaoweza kusajiliwa na vilabu nchini pamoja na idadi ya wachezaji ...TFF yaijibu Yanga: Hatuhusiki kualika wageni Mkutano Mkuu wa CAF
Baada ya viongozi wa Yanga SC kueleza kwamba hawajui kwanini hawakualikwa kwenye mkutano mkuu wa 44 wa Shirikisho la Mpira wa Miguu ...Tanzania na Uganda kuandaa AFCON 2027
Tanzania inakwenda kushirikiana na nchi ya Uganda kuomba kuandaa michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) ya mwaka 2027. Akizungumza na ...