Michezo
Mwakinyo alikwenda kushiriki pambano Uingereza bila kibali
Baada ya bondia wa ngumi za kulipwa nchini , Hassan Mwakinyo kupoteza pambano la kimataifa dhidi ya Liam Smith, imebainika kuwa Mwakinyo ...Serikali: Watanzania wamechoka kuona Taifa Stars ikifungwa kila siku
Serikali imesema imeandaa mpango wa kusaka vipaji vya Watanzania kwenye maeneo yote ya nchi vitakavyoleta mabadiliko katika timu ya taifa kutokana na ...Ufafanuzi wa TFF kuhusu usajili wachezaji wa kigeni
Kutokana na sintofahamu inayoendelea baada ya Klabu ya Yanga kuzuiwa usajili wa mchezaji Tuisila Kisinda na Shirikisho la Mpira wa Miguu (TFF), ...TFF yamzuia Kisinda Yanga
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limeiandikia barua Klabu ya Yanga ikiwazui kumleta winga wao nchini, Tuisila Kisinda kwa madai kuwa ...TPLB yavionya vilabu kuacha vitendo vya kishirikina uwanjani
Kamati ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi ya Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imezitaka klabu zote kuacha mara moja kufanya vitendo ...Kocha wa Taifa Stars aondolewa
Shirikisho la Mpira wa Miguu (TFF) limefikia makubaliano ya kumuondoa Kocha wa Taifa Stars, Kim Poulsen kwenye benchi la ufundi pamoja na ...