Michezo
Meneja: Hatuna taarifa ya Mwakinyo kuvuliwa ubingwa wa ABU
Uongozi wa bondia Hassan Mwakinyo umesema hauna taarifa rasmi kuhusiana na bondia huyo kuvuliwa ubingwa wa African Boxing Union (ABU) hivi karibuni. ...Mwakinyo avuliwa Ubingwa wa Afrika
Bondia wa Tanzania, Hassan Mwakinyo amevuliwa taji la ubingwa wa Afrika (African Boxing Union) kutokana na muda aliotakiwa kuwa ameutetea ubingwa huo ...