Michezo
Str8up waomba radhi kutoonekana kwa Kizz Daniel
Kampuni inayohusika na uandaaji wa matamasha ya burudani Str8up imewaomba radhi mashabiki na wadau wa burudani baada ya msanii maarufu kutoka Nigeria, ...Mtanzania aondolewa mbio za mita 100 Uingereza
Mwanariadha Mtanzania katika mashindano ya mbio fupi kwa wanawake, Winfrida Makenji ameondolewa kwenye mashindano baada ya kukutwa na kosa katika kuanza mbio ...Manara amwomba radhi Waziri Mchengerwa
Aliyekuwa Msemaji wa Klabu ya Yanga, Haji Manara amemwomba radhi Waziri wa Michezo, Mohamed Mchengerwa kwa kudhania kuwa amelielekeza Shirikisho la Mpira ...Meneja: Hatuna taarifa ya Mwakinyo kuvuliwa ubingwa wa ABU
Uongozi wa bondia Hassan Mwakinyo umesema hauna taarifa rasmi kuhusiana na bondia huyo kuvuliwa ubingwa wa African Boxing Union (ABU) hivi karibuni. ...