Michezo
Vilabu vitatu ikiwemo Azam vyapigwa faini kwa vitendo vinavyoashiria ushirikina
Azam FC imetozwa faini ya TZS milioni moja kwa kosa la wachezaji wake na mmoja wa maafisa wake wa ufundi kufanya vitendo ...Yanga yafungiwa kwa kushindwa kumlipa aliyekuwa mchezaji wake
Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA) limeifungia Yanga SC kusajili wachezaji mpaka itakapomlipa mchezaji wake, Lazarus Kambole aliyeshinda kesi ya ...Bilioni 19.7 kukarabati Uwanja wa Uhuru
Serikali kupitia Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo imesema Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) utasimamia ukarabati wa Uwanja wa Uhuru mkoani Dar ...Kombe la Muungano kurejea baada ya miaka 20
Shirikisho la Mpira wa Miguu Zanzibar (ZFF) pamoja na Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) zimetangaza kurejea rasmi kwa Kombe la ...Beno Kakolanya atoroka kambini Singida FG ikiikabili Yanga
Klabu ya Singida Fountain Gate imesema inasikitishwa na kitendo cha kipa wao Beno Kakolanya kutoroka kambini wakati timu hiyo ikikabiliwa na mchezo ...Yanga yawasilisha malalamiko CAF kuhusu goli la Aziz Ki
Uongozi wa Yanga SC umeandika barua kwa Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) ukitaka uchunguzi ufanyike juu ya goli la Yanga ...