Michezo
Rais Samia aitaka TFF kutenga pesa inazokusanya kukarabati viwanja
Rais Samia Suluhu Hassan amelitaka Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kuhakikisha linakarabati viwanja vya michezo kwa kutumia pesa wanazokusanya katika ...FIFA yaifungia Simba kusajili
Klabu ya Simba imefungiwa kusajili wachezaji mpaka itakapolipa madai ya klabu ya Teungueth ya nchini Senegal inayodai sehemu ya malipo kutokana na ...Yanga yapanda viwango vya ubora Afrika, Simba yaporomoka
Shirikisho la Kimataifa la Historia na Takwimu za Mpira wa Miguu (IFFHS) limetoa takwimu ya viwango vya klabu kwa kipindi cha Novemba ...Mwakinyo akataa wito wa Mahakama, kampuni yataka alipe milioni 150
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imeelekeza bondia Hassan Mwakinyo kupelekewa wito wa kufika mahakamani kupitia gazetini kufuatia kesi ya madai inayomkabili mahakamani ...Yanga yamfukuzisha kazi kocha wa Simba
Klabu ya Simba SC imevunja mkataba na kocha mkuu wa kikosi cha kwanza, Roberto Oliveira Goncalves Do Carmo (Robertinho) kwa makubaliano ya ...Tabora United yafungiwa na FIFA
Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA) limeifungia klabu ya Tabora United kusajili mpaka itakapomlipa aliyekuwa mchezaji wake, Evariste Kayembe. Taarifa ...