Michezo
Amchoma kisu aliyekuwa mkewe pamoja na mpenzi wake mpya
Maafisa wa Polisi katika Kijiji cha Muguga, Kaunti ya Kiambu nchini Kenya wamemkamata mwanamume mwenye umri wa miaka 43 ambaye inasemekana alivamia ...FIFA yaifungia Biashara United
Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA) limeifungia kusajili klabu ya Biashara United mpaka itakapomlipa aliyekuwa mchezaji wake, Tayo Odongo. Taarifa ...Vikosi 10 vyenye wachezaji ghali zaidi AFCON 2023
Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON), ambalo ni mashindano makubwa ya soka barani Afrika, limeanza nchini Ivory Coast. Mashindano haya ya heshima, ...Ndege ya wachezaji yapata hitilafu angani wakielekea AFCON
Ndege iliyokuwa imebeba timu ya taifa ya Gambia kuelekea kwenye michuano ya Mataifa ya Afrika (AFCON) imelazimika kutua kwa dharura baada ya ...Kamati ya Waamuzi: Kona waliyopata Simba dhidi ya Singida FG ni batili
Kamati ya waamuzi ya Zanzibar imesema kona iliyotolewa na mwamuzi wa mchezo kati ya Singida Fountain Gate na Simba SC katika nusu ...TFF: Hakuna fedha za maandalizi zilizotolewa na CAF kwa timu zilizofuzu AFCON
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limesema hakuna fedha yoyote iliyotolewa na Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) kwa ajili ...