Michezo
Uwanja wa Mkapa wafungwa hadi Oktoba 2024, Serikali yaeleza sababu
Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo imetangaza kuufunga Uwanja wa Benjamin Mkapa na Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam mpaka pale ukarabati ...Karia: Zawadi ya milioni 188 ya timu ya U15 itajengea miundombinu
Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Wallace Karia amesema fedha za zawadi za michuano ya vijana pamoja na ile ...Rais Samia aitaka TFF kutenga pesa inazokusanya kukarabati viwanja
Rais Samia Suluhu Hassan amelitaka Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kuhakikisha linakarabati viwanja vya michezo kwa kutumia pesa wanazokusanya katika ...FIFA yaifungia Simba kusajili
Klabu ya Simba imefungiwa kusajili wachezaji mpaka itakapolipa madai ya klabu ya Teungueth ya nchini Senegal inayodai sehemu ya malipo kutokana na ...Yanga yapanda viwango vya ubora Afrika, Simba yaporomoka
Shirikisho la Kimataifa la Historia na Takwimu za Mpira wa Miguu (IFFHS) limetoa takwimu ya viwango vya klabu kwa kipindi cha Novemba ...