Siasa
DRC yaondoa visa kwa Tanzania
Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo imeondoa hitajio la Visa kwa raia wa Tanzania wanaoingia nchini humo kuanzia Machi 20, mwaka ...Trump afuta vibali vya usalama kwa Biden, Kamala na Hillary Clinton
Rais Donald Trump ameondoa vibali vya usalama na upatikanaji wa taarifa za siri kwa wapinzani wake wa zamani, wakiwemo Kamala Harris, Hillary ...Waandishi wa Habari 18 washambuliwa na wanajeshi Uganda
Waandishi wa habari 18 wamedai kushambuliwa vikali na wanajeshi wa Uganda pamoja na maafisa wa kikosi cha kupambana na ugaidi katika eneo ...Serikali: Mikopo ya bilioni 82 imetolewa kwa wanawake, vijana na walemavu
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mohamed Mchengerwa, amesema katika mwaka wa Fedha 2024/25, ...Jeshi la Sudan linakaribia kudhibiti Ikulu
Televisheni ya taifa ya Sudan imeripoti kuwa Jeshi la Sudan liko karibu kuchukua udhibiti wa Ikulu ya Rais mjini Khartoum kutoka kwa ...Rais Tinubu atangaza hali ya dharura Jimbo la Rivers, amsimamisha Gavana
Rais wa Nigeria, Bola Tinubu ametangaza hali ya dharura katika Jimbo la Rivers, linalozalisha mafuta, na kumsimamisha Gavana wa jimbo hilo, Siminalayi ...