Siasa
Rais Ndayishimiye: Rwanda inapanga kuishambulia Burundi
Rais wa Burundi, Évariste Ndayishimiye amesema anayo taarifa za kiintelijensia zinazoonesha kuwa Rwanda inakusudia kushambulia nchi yake. Aidha, ametaja jaribio la mapinduzi ...Kamati ya Ushauri Tanga yaidhinisha mapendekezo ya kugawa majimbo ya uchaguzi
Kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba, mwaka huu, Kamati ya Ushauri ya Mkoa wa Tanga (RCC) imeidhinisha mapendekezo ya kugawa majimbo matatu ya ...Angola yajiondoa kama mpatanishi wa mzozo wa DRC
Angola imeamua kujiondoa kama mpatanishi katika mzozo unaoendelea Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), baada ya kushindwa kufanikisha mazungumzo ya ...NEC yaongeza siku za kujiandikisha Daftari la Wapiga Kura kwa Dar es Salaam
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imewatangazia wananchi wa Mkoa wa Dar es Salaam kuwa imeongeza siku mbili za uboreshaji wa ...DRC yaondoa visa kwa Tanzania
Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo imeondoa hitajio la Visa kwa raia wa Tanzania wanaoingia nchini humo kuanzia Machi 20, mwaka ...Trump afuta vibali vya usalama kwa Biden, Kamala na Hillary Clinton
Rais Donald Trump ameondoa vibali vya usalama na upatikanaji wa taarifa za siri kwa wapinzani wake wa zamani, wakiwemo Kamala Harris, Hillary ...