Siasa
Vijana waliokanyaga bendera ya Kenya wafikishwa mahakamani
Vijana wawili wa Kisomali waliokamatwa wakiwa wanakanyaga bendera ya Kenya katika Uwanja wa Nyayo wakati wa mechi kati ya Mogadishu City Club ...Uchaguzi Mkuu Kenya kugharimu TZS Trilioni 1
Tume Huru ya Uchaguzi nchini Kenya (IEBC) imesema inahitaji KSh bilioni 57.3 [TZS Trilioni 1.09] kwa ajili ya Uchaguzi Mkuu mwaka 2027, ...Kesi ya kupinga Mpina kuenguliwa kugombea Urais kusikilizwa Septemba 29
Mahakama Kuu ya Tanzania, Masijala Kuu Dodoma imetoa amri ya kusikiliza kesi ya Luhaga Mpina na chama cha ACT Wazalendo dhidi ya ...Dkt. Samia: Kazi inayoendelea ni kuupa hadhi utu wa mtu
Mgombea Urais wa Tanzania kupitia CCM, Dkt. Samia Suluhu amesema ikiwa wananchi watampa ridhaa Oktoba 29, 2025 kazi itakayoendelea kuupa hadhi utu ...Kesi ya uhaini ya Tundu Lissu kuanza kusikilizwa Oktoba 6
Kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, itaanza kusikilizwa mfululizo kuanzia Oktoba 6, 2025 katika ...Tume yasisitiza ACT- Wazalendo haina mgombea Urais
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imesisitiza kuwa Chama cha ACT-Wazalendo hakina wagombea wa kiti cha Rais na Makamu wa Rais ...








