Siasa
Rais Ramaphosa atangaza tatizo la umeme kuwa janga la kitaifa
Kutokana na tatizo kubwa la kukatika kwa umeme linaloikumba Afrika Kusini, Rais Cyril Ramaphosa ametangaza kuwa tatizo hilo ni janga la kitaifa ...Spika Tulia aagiza kauli ya Waziri Mwigulu ifutwe
Spika wa Bunge, Tulia Ackson amemtaka Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Nchemba kufuta kauli yake aliyoitoa Februari 02, 2023 katika kikao cha ...CUF yamtaka Jaji Biswalo ajiuzulu
Chama cha Wananchi (CUF) kimemtaka aliyekuwa Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP), Biswalo Mganga ajiuzulu cheo chake kama Jaji wa Mahakama Kuu kufuatia tuhuma ...Dkt. Tulia: Chama cha Mapinduzi hakitaachia dola
Spika wa Bunge ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Dkt. Tulia Ackson amesema hakuna siku ...Rais Samia afanya uteuzi wa viongozi mbalimbali
Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Janet Zebedayo Mbene kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Wakala wa Nishati Vijijini (REA). Amemteua James ...Rais Ruto apunguza ulinzi wa Kenyatta na wanafamilia wake
Ripoti mbalimbali nchini Kenya zimeeleza kuwa baadhi ya mabadiliko yamefanywa katika timu ya ulinzi ya Rais Mstaafu wa Kenya, Uhuru Kenyatta miezi ...