Siasa
Putin: Nataka vita na Ukraine imalizike
Rais wa Urusi, Vladimir Putin amekutana na Waziri Mkuu wa India, Narendra Modi na kusema kuwa anataka vita nchini Ukraine imalizike haraka ...Balozi Paul Rupia, mtoto wa mpigania uhuru, afariki dunia
Katibu Mkuu Kiongozi wa tano, Balozi Paul Rupia (84) amefariki dunia leo asubuhi Septemba 16, 2022 nchini Afrika Kusini wakati akipatiwa matibabu. ...Makala aliyoandika Rais Samia Suluhu leo Dunia ikiadhimisha Siku ya Demokrasia
Na Rais Samia Suluhu Hassan Mwaka 2007, Mkutano Mkuu wa Umoja wa Mataifa ulifanya uamuzi wa kuzitaka nchi duniani kuadhimisha siku ya ...Waziri Nchemba: Serikali imeunda timu ya wataalam kuchambua tozo zenye utata
Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Serikali imeunda timu ya wataalamu itakayofanyia kazi tozo zenye utata kwenye miamala ya ...Rais Samia: Kuna pengo la ubaguzi wa kijinsia kwenye biashara
Rais Samia Suluhu Hassan amesema suala la ubaguzi wa kijinsia katika biashara linahitaji kuzungumziwa katika ngazi ya Umoja wa Afrika ikiwa ni ...Polisi wafuta kesi 1,840 kwa kukosa ushahidi
Rais Samia Suluhu Hassan amemuagiza Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI), Ramadhan Kingai kuhakikisha unafanyika upelelezi ikiwa ni pamoja na ...