Siasa
Rais Samia: Askari wasio na sifa ndio wanaolipa fedheha Jeshi la Polisi
Rais Samia Suluhu Hassan amesema upungufu wa mafunzo kwa askari wa Jeshi la Polisi unachangia mmomonyoko wa maadili katika baadhi ya maeneo ...Marekani yasamehe mikopo kwa mamilioni ya wanafunzi
Rais wa Marekani, Joe Biden amesema Serikali ya Marekani itasamehe kiasi cha dola 10,000 [sawa na TZS milioni 23.3] ya mikopo kwa ...Nape aweka wazi mpango wa Serikali kuhusu gharama za intaneti
Waziri Nape Nnauye amesema Serikali inaangalia namna itakayosaidia kupunguza gharama za bando. Uwekwaji wa mkongo wa taifa umeipa thamani mlima ...Rais Samia asema Tanzania imepiga hatua usawa wa kijinsia
Rais Samia Suluhu Hassan amesema Tanzania imejitahidi kupiga hatua katika usawa wa kijinsia kwa kutoa fursa mbalimbali kwa wanawake hasa katika nafasi ...Odinga: Hatutakubali mtu mmoja kubadilisha yale ambayo Wakenya wameamua
Aliyekuwa mgombea urais kupitia tiketi ya Azimio la Umoja, Raila Odinga amepinga matokeo ya uchaguzi yaliyotangazwa Agosti 15, 2022 na Mwenyekiti ...