Siasa
Bashungwa: Serikali itawashughulikia watumishi wanaodhani zama za upigaji zimerudi
Waziri wa TAMISEMI, Innocent Bashungwa amesema Serikali haitowafumbia macho watumishi wote wa Serikali wanaodhani kwamba zama za upigaji wa fedha za Serikali ...Mfahamu kwa ufupi Rais Mteule wa Kenya, William Ruto
William Ruto alizaliwa Desemba 21, 1966 katika kaunti ya Uasin Gishu nchini Kenya, na kupata elimu yake ya msingi katika shule ya ...Ruto: Sitokuwa na kisasi na mtu yeyote
Rais Mteule wa Kenya, William Ruto amesema hatokuwa na kisasi na mtu yeyote wala kuangalia yaliyotokea nyuma, badala yake Serikali yake itashirikiana ...Uwanja wa ndege wa Iringa kukuza utalii na ajira
Rais Samia Suluhu Hassan amewahimiza wananchi wa Iringa kujiandaa na ajira nyingi zitakazotolewa katika uwanja wa ndege wa Iringa pindi utakapokamilika. Ameyasema ...Kenya: Mgombea awatupia lawama wananchi kwa kumnyima kura baada ya kula hela zake
Mgombea aliyekuwa Mwakilishi katika Baraza la Kaunti (MCA) ya Meru, Festus Kithinji ambaye kura alizopata hazikutosha kumpa ushindi amegeuka gumzo baada ya ...Mtuhumiwa wa mauaji Kenya ashinda ubunge
Mwanasiasa anayetuhumiwa kwa mauaji nchini Kenya, Didmus Wekesa Barasa ametetea kiti chake cha ubunge kwa tiketi ya chama cha United Demokratic Alliance. ...