Siasa
Ujenzi wa bwawa la Nyerere wafikia asilimia 67
Waziri wa Nishati, January Makamba amesema ujenzi wa bwawa la kuzalisha umeme la Julius Nyerere (JNHPP) utakaozalisha megawati 2,115 umefikia asilimia 67. ...Rais Samia: Msiwabughudhi wananchi mnapowaomba michango
Rais Samia Suluhu Hassan amewaonya viongozi wa Halmashauri ya Makete kuacha kuwabughudhi wananchi pindi watakapowafuata kuomba michango ya taa za barabarani bali ...Wakulima watakiwa kujisajili na kupewa vitambulisho
Rais Samia Suluhu Hassan amewataka wakulima wote nchini kujisajili na kutambulika katika orodha ya wakulima ili kupata huduma stahiki kwa urahisi. Ameyasema ...Waziri Mkuu awataka watumishi wa umma kuzingatia maadili
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amewataka watumishi wa umma kuondoa urasimu katika utekelezaji wa majukumu yao ya kila siku ili wananchi wapate huduma ...Rais aagiza 40% ya mapato ya halmashauri yaende kwenye maendeleo
Rais Samia Suluhu Hassan amewataka viongozi wa Wilaya ya Chunya Mkoani Mbeya kutumia asilimia 40 ya mapato yanayokusanywa na halmashauri kuelekezwa katika ...Rais Samia: Serikali yangu imejielekeza kutatua kero za wananchi
Rais Samia Suluhu Hassan amesema Serikali ya awamu ya sita haina mpango wa kukata maeneo kwa kuyapandisha hadhi, badala yake inajielekeza katika ...