Siasa
Spika wa Marekani atua Taiwan licha ya onyo la China
Spika wa Bunge la Marekani, Nancy Pelosi amewasili Taiwan ambapo anatarajiwa kukutana na kufanya mazungumzo na Rais wa eneo hilo kabla ya ...Maeneo 7 ya ushirikiano yaliyoridhiwa kati ya Tanzania na Zambia
Rais Samia Suluhu Hassan amefanya mazungumzo na Rais wa Zambia, Hakainde Hichilema aliyewasili nchini leo kwa ajili ya ziara ya kikazi inayolenga ...Halmashauri zafikia malengo ya asilimia 100 ukusanyaji wa mapato baada ya miaka 10
Waziri wa TAMISEMI, Innocent Bashungwa ametoa taarifa ya Ukusanyaji wa mapato ya ndani na matumizi ya halmashauri kwa kipindi cha robo ya ...Rais Samia awataka wanajeshi wanaoteuliwa uraiani kutokuvaa kombati za jeshi
Rais Samia Suluhu Hassan amewaagiza Makanali walioapishwa kuwa wakuu wa mikoa kuacha kuvaa kombati katika majukumu yao ya kazi mpaka pale watakaporejea ...Rais Samia awaonya viongozi matumizi mabaya ya fedha za Serikali
Rais Samia Suluhu Hassan amewataka viongozi kuacha kutumia vibaya fedha zinazotolewa katika wilaya kwa ajili ya kutekeleza miradi mbalimbali ya maendeleo. Ameyasema ...Bashungwa awasimamisha kazi watumishi 5, awakabidhi TAKUKURU
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Innocent Bashungwa ameagiza kusimamishwa kazi na kuhojiwa na Taasisi ...