Siasa
Rais Samia mgeni rasmi siku ya Mashujaa
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema Rais Samia Suluhu Hassan atakuwa mgeni rasmi katika maadhimisho ya Siku ya Mashujaa, itakayofanyika kitaifa Julai 25, ...Mdee na wenzake wafungua kesi ya kupinga kufukuzwa CHADEMA
Baada ya mahakama kutoa kibali kwa waliokuwa wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Halima Mdee na wenzake 18, sasa wamefungua ...Rais Samia aahidi kuiunganisha zaidi Tanzania na nchi za Afrika Mashariki
Rais Samia Suluhu Hassan amesema Tanzania inaendelea na utekelezaji wa miradi mbalimbali ya barabara zitakazoiunganisha na nchi za Afrika Mashariki pamoja na ...Serikali kuzalisha tani milioni 16 za mbolea mwaka 2026
Rais Samia Suluhu Hassan amesema Serikali ina mpango wa kuzalisha mbolea kuanzia tani milioni sita kwa mwaka huu hadi milioni 16 kufikia ...Dkt. Ndumbaro: Serikali haimzuii mtu kusema katiba ina mapungufu
Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Damas Ndumbaro amesema katika mijadala inayoendelea ya katiba wanaozungumza ni wanasiasa na vyama vya siasa, na ...Maagizo ya Makamu wa Rais kwa Balozi wa Tanzania – Indonesia
Makamu wa Rais wa Tanzania, Dkt. Philip Mpango amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Tanzania nchini Indonesia, Macocha Tembele ambapo amemuagiza ...