Siasa
Jeshi la Polisi lapiga marufuku maandamano ya vijana yaliyopangwa na CHADEMA
Jeshi la Polisi limepiga marufuku maandamano na mikusanyiko ya aina yoyote yaliyopangwa na viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) mkoani ...Rais aelekeza viwanda vilivyokufa Morogoro vifufuliwe
Rais Samia Suluhu Hassan amesema Serikali itahakikisha Mkoa wa Morogoro unarudi kwenye hadhi ya viwanda kama ilivyokuwa hapo zamani ili kukuza uchumi ...Rais: Viongozi mnaowalangua wakulima kwenye mpunga hamtendi haki
Rais Samia Suluhu Hassan amewataka viongozi wanaofanya biashara ya ununuzi wa mpunga kwa kuwalangua wakulima kuacha tabia hiyo kwani hawawatendei haki wakulima. ...Rais: Migogoro baina ya wafugaji na wakulima haina tija kwa taifa
Rais Samia Suluhu Hassan amesema migogoro baina ya wakulima na wafugaji haina tija kwa taifa kwani inaweza kuleta machafuko na kulidhoofisha taifa. ...Muswada mpya wapendekeza faini ya TZS milioni 104 kwa wanaotumia miujiza kuwatapeli wananchi
Kiongozi yeyote wa kidini atakayefanya miujiza, uponyaji au baraka kwa njia ya udanganyifu kwa lengo la kuwaibia Wakenya wasio na hatia, atakabiliwa ...