Siasa
Rais: Tutaunda kamati kutatua changamoto za kodi kwa wafanyabiashara
Rais Samia Suluhu amesema Serikali itaunda kamati itakayoshirikisha wajumbe kutoka serikalini na sekta binafsi ili kupitia kwa undani mfumo mzima wa kodi ...Rais Ruto awaongeza mishahara maafisa polisi na magereza
Rais wa Kenya, William Ruto ametangaza kuwa nyongeza ya mishahara kwa maafisa wa polisi, magereza na maafisa wengine wa mashirika ya usalama ...Kenya yafichua mashirika yanayofadhiliwa na Ford Foundation kuchochea vurugu
Serikali ya Kenya imeiandikia rasmi barua Shirika binafsi la Kimarekani, Ford Foundation ikiituhumu shirika hilo kufadhili maandamano ya Kenya pamoja na kuyaweka ...Rais Ruto alituhumu shirika la Kimarekani juu ya vurugu za maandamano
Rais wa Kenya, William Ruto amelituhumu shirika binafsi la Kimarekani, Ford Foundation, kwa kufadhili ghasia wakati wa maandamano ya kupinga serikali nchini ...Rais Samia aihakikishia Katavi umeme wa Gridi ya Taifa ifikapo Septemba
Rais Samia Suluhu Hassan amesema Septemba mwaka huu, Mkoa wa Katavi utaanza kutumia umeme wa Gridi ya Taifa na kuachana na umeme ...