Siasa
NCCR Mageuzi yadai Mbatia ameuza mali za chama
Chama cha NCCR Mageuzi kimemtuhumu aliyekuwa mwenyekiti wa chama hicho, James Mbatia kuuza mali za chama kiholela ikiwemo nyumba, kwa maslahi binafsi. ...Rais Mwinyi: Sekta ya sukari ni kipaumbele kwa Tanzania
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi amesisitiza kuwa sekta ya sukari ni kipaumbele katika kilimo ...Rais Samia: Serikali na taasisi za kidini zishirikiane
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema Rais Samia Suluhu Hassan anasisitiza ufanyaji kazi kwa ushirikiano kati ya Serikali na Taasisi za Dini nchini ...Rais Samia kugharamia matibabu ya Sativa
Rais Samia Suluhu Hassan ameahidi kugharamia matibabu ya Edgar Mwakabela maarufu ‘Sativa’ aliyetekwa, kujeruhiwa na kutelekezwa msituni Katavi, kuanzia sasa anapoendelea kupatiwa ...Rais wa Msumbiji kufanya ziara nchini Tanzania
Rais wa Jamhuri ya Msumbiji, Felipe Jacinto Nyusi anatarajia kuanza ziara nchini Tanzania kuanzia Julai 1 hadi Julai 04, 2024 kufuatia mwaliko ...Tanzania inaiuzia Zambia mahindi tani 650,000 kukabiliana na njaa
Tanzania inauza mahindi tani 650,000 nchini Zambia ikiwa ni utekelezaji wa makubaliano yaliyofikiwa kufuatia mazungumzo kati ya Rais Samia Suluhu na Rais ...