Siasa
Kenya: Wananchi waiba mafuta ya transifoma na kutumia kupikia
Mamlaka ya nishati nchini Kenya imesema kuwa inapoteza mamilioni ya dola kwa mwezi kutokana na uharibifu wa transfoma zake za umeme ambazo ...Nape awaonya matajiri wanaotumia fedha ili mitaa iitwe majina yao
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amewataka matajiri wanaotumia fursa ya kuwajengea watu miundombinu au kutoa fedha kidogo ...EWURA: Bei ya mafuta itaendelea kupanda
MAMLAKA ya Udhibiti wa Nishati na Maji (EWURA) imesema kuwa kutokana na uhitaji mkubwa wa mafuta, bei ya mafuta inatarajiwa kuendelea kupanda ...Ujenzi wa madarasa na vituo vya afya wawanufaisha mafundi wazawa
Ilizoeleka kwamba miradi inayotokea kwenye maeneo mbalimbali nchini tenda ilikuwa ikipewa kwa mafundi na wakandarasi kutoka nje lakini hali imekuwa tofauti Mkoani ...Taarifa ya serikali kuhusu ujenzi wa Daraja la Jangwani na Mto Msimbazi
Serikali imetoa taarifa ya kuhamishwa kwa wakazi wa maeneo ya Bonde la Mto Msimbazi ili kupisha uendelezaji wa mradi katika eneo hilo. ...Rais Samia: Awamu ya tano ilikuzwa heshima ya woga
Rais Samia Suluhu Hassan amewataka viongozi kuondoa heshima ya woga ambayo ilijengwa katika awamu ya tano na badala yake wajenge heshima kutoka ...