Siasa
Tanzania kupokea Watalii wengi kutoka Urusi
Ule msemo usemao ‘vita vya panzi furaha ya kunguru’ umejidhihirisha ambapo Tanzania inatarajia kupata watalii wengi siku za hivi karibuni kutokea Urusi ...Majukumu makubwa matatu yanayomsubiri Kinana
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Abdulrahman Kinana ambaye amechaguliwa na wajumbe wa chama hicho leo Aprili Mosi katika Mkutano ...HIVI PUNDE: Rais Samia Suluhu afanya mabadiliko ya Baraza la Mawaziri
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amefanya mabadiliko madogo ya Baraza la Mawaziri kama ifuatavyo: George Boniface Simbachawene, ...Huyu ndiye Kanali Mstaafu, Abdulrahman Kinana
Mwanasiasa aliyezaliwa mwaka 1952 mkoani Arusha, Baba yake, Mzee Omary Kinana alihamia Tanzania akitokea Somalia alipokuwa mtoto, anatokea katika ukoo wa kisomali ...Wasifu wa Hayati Bernard Membe
Bernard Kamilius Membe alizaliwa Novemba 9, 1953, Rondo, Chiponda, katika mkoa wa Lindi, akiwa ni mtoto wa pili kati wa watoto saba ...Upinzani Ghana kuipinga tozo ya miamala mahakamani
Upinzani nchini Ghana umesema kwamba utakwenda Mahakama ya Juu kupinga kodi mpya iliyoanzishwa kwenye miamala ya simu. Kodi hiyo mpya ya miamala ...