Siasa
MBASHARA: Rais Samia Suluhu akipokea taarifa ya CAG 2020/21 na Ripoti ya TAKUKURU
Fuatilia matangazo ya moja kwa moja kutoka Ikulu, Chamwino mkoani Dodoma ambapo leo Rais Samia Suluhu Hassan anapokea ripoti ya Mdhibiti na ...Bilionea Roman Abramovich apewa ‘sumu’ akisuluhisha Urusi na Ukraine
Bilionea wa Urusi, Roman Abramovich ameshambuliwa na tatizo la kiafya lililoonesha dalili zinazoashiria huenda alipewa sumu akiwa kwenye mazungumzo ya kumaliza mgogoro ...Kamati: Chanzo cha uchafuzi Mto Mara ni tope lililotibuliwa na mvua
Uchunguzi wa kimaabara uliofanyika kwenye sampuli zilizochukuliwa katika maji ya Mto Mara umebainika kuwa chanzo kikuu cha kuchafuka kwa maji ya mto ...Utata: Mwanamke aliyeolewa na Mrema adaiwa kuwa mke wa mtu
Ndoa ya Mwenyekiti wa Chama cha TLP, Augustino Mrema imeibua utata na kusemekana kuwa ni batili kufuatia uwepo wa madai kuwa mwanamke ...Mapingamizi manne yaliyowekwa na Jamhuri kesi ya Makonda
Jamhuri imeweka mapingamizi dhidi ya maombi yaliyofunguliwa na mwanashabari Saed Kubenea kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Kinondoni, kuomba kibali cha kumfungulia kesi ...RC Makalla ataka miradi Dar kupewa jina la Rais Samia
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla amemshawishi Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Profesa Makame Mbarawa kwamba pindi miradi ya ...