Siasa
Zanzibar kuwapa hifadhi watalii 900 waliokwama kurudi Ukraine
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Mwinyi amesema wameanza mazungumzo na wamiliki wa hoteli kutoka Zanzibar kuona ...Dkt. Slaa: Niliudhika na maneno ‘Mbowe sio gaidi.’ Wanaokwenda mahakamani wanafanya siasa
Aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Balozi Dkt. Wilbrod Slaa amekiri kuudhika na maneno yaliyotolewa na baadhi ...Tanzania yavuna uwekezaji wa trilioni 17 kutoka Dubai
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imevun uwekezaji wenye thamani ya TZS trilioni 17.35 katika mkutano wa Biashara na Uwekezaji uliofanyika ...Binti asimulia alivyoficha mimba akiwa shule, na alivyopokea agizo la Rais Samia
Rahabu Lugenge anayeishi katika Kijiji cha Lupembe kilichopo katika Halmashauri ya Wilaya ya Njombe, amesimulia mkasa wake wa kupata mimba akiwa mwanafunzi ...Zanzibar: Ombaomba wapewa eneo la kufanyia biashara
Mkuu wa Wilaya Mjini, Rashid Msaraka kwa kushirikiana na watendaji kutoka kitengo cha ustawi wa jamii amesema watahakikisha wanafanya operesheni za mara ...