Siasa
Rais Samia: JWTZ halikujengwa kwa misingi ya kuwa jeshi la uvamizi
Rais Samia Suluhu Hassan amesema Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) halikujengwa katika misingi ya kuwa jeshi la uvamizi isipokuwa ...Jeshi la Polisi: CHADEMA imepanga kuhamasisha vijana kuvamia vituo vya Polisi
Kufuatia Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam kueleza kuwa hakuna uthibitisho unaoonesha kuwa viongozi wa Baraza la Vijana la CHADEMA (BAVICHA) ...Rais Samia aelekeza mashirika ya umma kufanya mabadiliko ya kiutendaji
Rais Samia Suluhu amewataka Wenyeviti wa Bodi na Watendaji Wakuu wa Taasisi za Umma kutoa maoni yao ya namna wanavyotamani taasisi wanazoziongoza ...Rais Samia ampongeza Odinga kwa kudumisha mahusiano mazuri na viongozi wa Afrika
Rais Samia Suluhu Hassan amesema Tanzania inamuunga mkono Waziri Mkuu Mstaafu wa Kenya, Raila Odinga ambaye anawania nafasi ya Mwenyekiti wa Kamisheni ...Rais Mwinyi: China imeisaidia sana Zanzibar kimaendeleo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi amesema China imekuwa ikiisaidia Zanzibar katika mambo mbalimbali ya ...