Siasa
Songwe: Tuta la kuzuia maji lililogharimu TZS milioni 100 lasombwa na maji
Mkuu wa Mkoa wa wa Songwe, Omary Mgumba amefanya ziara ya ghafla katika Kata ya Kanga wilayani Songwe baada ya kupata taarifa ...Ujenzi wa kituo cha afya wamfuta machozi ya kufiwa na Mjukuu wake
Mkazi wa Kata ya Lilambo, Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma, Juma Msangi amesema fedha zaidi ya TZS milioni 700 zilizotolewa na Rais ...Bunge lataka fedha za Mfuko wa Jimbo ziongezwe
Bunge la Tanzania limeishauri serikali kuvifanyia marejeo viwango vya fedha vya Mfuko wa jimbo ili viendane na hali ya sasa ya uchumi. ...Mambo 7 ambayo Tundu Lissu amemueleza Rais Samia
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu ameitikia ombi la Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu la kukutana nae, ambapo wamekutana Brussels nchini Ubelgiji. ...Video: Raila Odinga aachia wimbo kwa ajili ya kampeni zake
Magombea Urais nchini Kenya, Raila Odinga ametoa video ya wimbo alioshirikishwa, wakati kampeni za uchaguzi nchini humo zikishika kasi. Odinga ambaye ndiye ...Tulia: Mdee na wenzake wapo bungeni kihalali
Spika wa Bunge la Tanzania, Dkt. Tulia Ackson amesema kuwa wabunge 19 wa Viti Maalum wa CHADEMA wapo bungeni kihalali. Dkt. Tulia ...