Siasa
Watanzania watatu wakamatwa DRC kwa tuhuma za kuwa waasi wa ADF
Jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (FARDC) limewakamata Watanzania watatu wanaodaiwa kuwa waasi wa kikundi cha Allied Democratic Forces (ADF), waliosajiliwa ...Tanzania yalamba dume Umoja wa Afrika
Mkutano wa 35 wa Wakuu wa Nchi na Serikali umeridhia na kupitisha ombi la Tanzania la kutaka Kiswahili kuwa lugha ya kazi ...Orodha ya Mawaziri Vivuli wa ACT-Wazalendo walioteuliwa kuisimamia serikali
Kiongozi wa ACT Wazalendo, Zitto Kabwe ametangaza Wasemaji wa Kisekta 24 (Baraza Kivuli la Mawaziri) watakaokuwa na jukumu la kuisimamia Serikali kwa ...RC Hapi aponea kufyatuliwa na Rais Samia kwenye mkutano wa hadhara
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema kwamba Mkuu wa Mkoa wa Mara, Ally Hapi amenusurika kufyatuliwa baada ya yeye mwenyewe (RC) ...Samia: Chini ya CCM, Tanzania imepata mafanikio makubwa
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) ambaye pia ni Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema kwamba katika miaka 45 ya uongozi ...Waziri Mkenda: Wanafunzi waliojifungua hawaruhusiwi kurudi shule na watoto
Waziri wa Elimu, Prof. Adolf Mkenda amesema kuwa ruhusa ya waliokatisha masomo kwa ujauzito kurejea shule haimaanishi kwamba wanaruhusiwa kwenda na watoto ...