Siasa
Serikali yatangaza kupungua makali ya mgao wa umeme
Naibu Waziri wa Nishati, Stephen Byabato amesema kuwa magao wa umeme mkubwa na mkali waliokuwa wanatarajia ungekuwepo, hautakuwepo tena. Amesema hayo akitoa ...Uledi Mussa ateuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya TRA
Rais Tanzania, Samia Suluhu Hassan amemteua Uledi Abbas Mussa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Mamlaka ya Mapato Nchini (TRA) kwa kipindi cha ...Marekebisho yaliyofanywa kwenye kanuni za utangazaji, mawasiliano ya simu na intaneti na posta
[pdf-embedder url=”https://swahilitimes.co.tz/wp-content/uploads/2022/01/MAREKEBISHO-YA-KANUNI-ZA-MIUNDOMBINU-YA-UTANGAZAJI-KIDIJITI-NA-KANUNI-ZA-LESENI-FINAL.pdf” title=”MAREKEBISHO YA KANUNI ZA MIUNDOMBINU YA UTANGAZAJI, KIDIJITI NA KANUNI ZA LESENI FINAL”]Hawa ndio wagombea 9 wanaowania Uspika wa Bunge la Tanzania
Saa chache ziliwa zimebaki kumfahamu atakayeongoza mhimili wa Bunge, Katibu wa Bunge, Nenelwa Mwihambi amesema wagombea tisa watawania naafasi hiyo katika uchaguzi ...Mzee wa Upako ataka yeyote anayetaka kugombea awe na cheti na mafunzo ya JKT
Mchungaji Kiongozi wa Kanisa la Maombezi (GRC) la Dar es Salaam, Anthony Lusekelo, maarufu Mzee wa Upako ameshauri kuwepo utaratibu wa Tume ...Rais Samia kuajiri walimu wapya 7,000
Ili kuendana na kasi ya ujenzi wa madarasa mapya 15,000 yaliyojengwa nchini kote, Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema serikali inakusudia ...