Siasa
Polisi wapewa siku 7 kuwakamata walioua wanafamilia watano Dodoma
Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mpango ametoa siku saba kwa vyombo kuhakikisha wahalifu waliotekeleza mauaji ya watu wa tano wa familia moja ...Mfahamu kiongozi wa mapinduzi ya kijeshi ya Burkina Faso, Paul Damiba
Mara nyingi mapinduzi wa kijeshi yanapofanyika huwa ni mwisho wa uongozi ambao uliingia madarakani kwa njia ya kidemokrasia, na kuwa mwanzo wa ...Rais Samia awajibu wanaohoji kuhusu Machifu
Akizungumza katika Tamasha la Utamaduni mkoani Kilimanjaro, Rais Samia Suluhu Hassan amesema kuwa serikali inashirikiana na machifu na wazee wa kimila mbalimbali ...Kutoka kufuata shule 30km, hadi 2km. Tanga wamshukuru Rais Samia
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Muheza, Nassibu Mmbaga amesema bila uwepo wa mradi wa fedha za ustawi wa Taifa wa mapambano dhidi ...Mahakama yaruhusu Makonda kushitakiwa kwa makosa ya jinai
Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam imeruhusu kufunguliwa kwa kesi ya jinai dhidi ya aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es ...Rais Samia ateua Naibu Kamishna Mkuu TRA na Balozi Austria
Rais Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa viongozi wawili ambapo kwanza amteua Mcha Hassan Mcha kuwa Naibu Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya ...