Siasa
Rais Samia aomboleza vifo vya watu 10 Kisiwani Pemba
Rais Samia Suluhu Hassan ametuma salamu za rambirambi kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi ...Rais Samia: Hatuwezi kuunga umeme shilingi 27,000 kwa wananchi wote
Rais Samia Suluhu Hassan amesema kwamba haiwezekani wananchi wote wakaungiwa umeme kwa gharama ya shilingi ya 27,000 kwani gharama za umeme haziko ...Rais Samia ateua viongozi wa taasisi tatu (TIRA, JFC na EPZA)
Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Dkt. Baghayo Abdallah Saqware kuwa Mkurugenzi wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bima Tanzania (TIRA) kuanzia Januari 1, ...Jaji Warioba ashauri kura ya maoni ya katiba mpya kufanyika mwaka 2024
Waziri Mkuu Mstaafu, Jaji Joseph Sinde Warioba ameishauri serikali kufanya kura ya maoni kuhusu uhitaji wa katiba mpya kabla ya uchaguzi mkuu ...Majaliwa: Acheni kutafuta uongozi kwa kutengeneza fitina na migogoro
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amewaonya watu wanaotafuta madaraka kwa kutengeneza fitina na mbinu nyingine chafu za kuharibia wengine kwenye uongozi, na ...Rais Samia amteua Rais Kikwete kwa muhula wa pili
Rais Samia Suluhu Hassan, amefanya uteuzi wa viongozi mbalimbali; 1. Amemteua Rais Mstaafu, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, kuwa Mkuu wa Chuo Kikuu ...