Siasa
Maamuzi yaliyofikiwa katika mkutano wa Wakuu wa Nchi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki
Wakuu wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) wamepokea taarifa ya uhakiki na kuagiza Baraza la Mawaziri la EAC kuharakisha ...Wabunge nchini Ghana wapigana kisa tozo kwenye miamala ya simu
Vurugu zimetokea ndani ya ukumbi wa Bunge la Ghana wakati wa mjadala kuhusu pendekezo la serikali la kuweka tozo kwenye miamala ya ...Waziri Mchengerwa aagiza watumishi watakaozuiliwa likizo zao walipwe
Waziri wa Nchi, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mohamed Mchengerwa amesema kuwa likizo ni haki ya mtumishi kisheria hivyo ...Ukweli kuhusu suala la Mnyika kumuomba Mangula asaidie Mbowe kuachiwa huru
Viongozi wakuu wa vyama vya siasa vinavyounda Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD) wamemuomba Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Bara, Philip ...Rais Samia aitenganisha Wizara ya Afya
Rais Samia Suluhu Hassan, ameiondoa Idara Kuu ya Maendeleo ya Jamii kutoka Wizara ya Afya ili iweze kufanyakazi kwa ufanisi zaidi. Rais ...Rais Samia: Tanzania haiongozwi na utashi wa mataifa ya nje
Rais Samia Suluhu Hassan amesema Tanzania ni moja tu duniani ambayo ni taifa huru lililojengwa katika misingi ya amani, upendo na mshikamano ...