Siasa
Msajili: Ni mkutano wa wadau, sio wa Rais na vyama vya siasa
Msajili wa Vyama vya Siasa Tanzania, Jaji Francis Mutungi amesema kuwa mkutano wa siku tatu utakaofunguliwa leo kujadili hali ya demokrasia na ...Rais Samia awapangia vituo vya kazi mabalozi wanne
Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Balozi Ali Idd Siwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya ...Watakaowadanganya mawaziri kuvuliwa nyadhifa zao
Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Mwita Waitara amesema meneja, mkuu wa taasisi na watendaji wa wizara hiyo wanaotoa majibu ya uongo ...Orodha ya maafisa 14 wa majeshi waliotunukiwa nishani na Amiri Jeshi Mkuu leo
Rais na Amiri Jeshi Mkuu, Samia Suluhu Hassan, ametunuku Nishani 14 ikiwa ni sehemu ya Nishani 893 alizozitunuku kwa Wakuu wa Vyombo ...Picha za matukio ya kuvutia katika maadhimisho ya Miaka 60 ya Uhuru
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amewaongoza Watanzania na wageni mbalimbali katika maadhimisho ya Miaka 60 ya Uhuru wa Tanzania Bara. Maadhimisho ...Wafahamu waasisi 17 wa Uhuru wa Tanganyika
Tanzania Bara leo imeadhimisha kutimiza miaka 60 tangu bendera ya mkoloni Mwingereza iliposhushwa na ile ya Tanganyika kupandishwa na hivyo kuwa nchi ...