Siasa
Rais Samia kushiriki mkutano wa Viongozi Wanaume wa Afrika
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amethibitisha kushiriki kwa njia ya mtandao Mkutano wa Viongozi Wanaume ulioitishwa na Rais wa Jamhuri ...Nyaraka Zavuja: Mabilioni ya umma DRC yalitoroshwa Rais Kabila akiwa madarakani
Nyaraka zilizovuja zimeonesha kuwa mabilioni ya fedha umma yalitoroshwa nchini DR Congo na Kampuni zilizomilikiwa na familia na marafiki wa Rais Msstaafu, ...Prof Kabudi: Serikali haijazuia mikutano ya hadhara ya kisiasa
Waziri wa Katiba na Sheria Prof. Palamagamba Kabudi amesema mikutano ya kisiasa nchini haijazuliwa, bali inaratibiwa na imewekewa utaratibu wa kufanyika. Kabudi ...Kauli ya Benki ya Dunia kuhusu hatma ya Wanafunzi wanaoacha shule Tanzania
Benki ya Dunia (WB) imesema inaunga mkono uamuzi wa Serikali ya Tanzania kuendeleza elimu mbadala kwa wanafunzi wote walioacha shule kutokana na ...Rais Samia afanya uteuzi wa viongozi wapya 8
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amefanya uteuzi wa viongozi mbalimbali kama ifuatavyo:- • Amemteua Dkt. Florence Martin Turuka kuwa Mwenyekiti wa ...Kabudi: Tanzania inaheshimu uhuru na demokrasia
Waziri wa Katiba na Sheria, Prof. Palamagamba Kabudi amesema inasherehekea Miaka 60 ya Uhuru ikiendelea kuheshimu uhuru na demokrasia Akizungumza katika mahafali ...