Siasa
Spika Ndugai awashangaa wastaafu wanaokaa mijini
Akitambulisha wageni bungeni leo, Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai amesema kuwa Waziri Mkuu Mstaafu, Mizengo Pinda ni mfano mzuri ...Tamko la Tanzania kuhusu vikwazo vya Marekani dhidi ya Zimbabwe
Tanzania imeunga mkono tamko la Jumuiya ya Maendeleo kusini mwa Afrika (SADC) la kupinga vikwazo dhidi ya Jamhuri ya Zimbabwe ilivyowekewa na ...Rais Samia aja na mbinu mpya kufadhili miradi Serikali za Mitaa
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amefanya mazungumzo na Katibu Mtendaji wa Mfuko wa Umoja wa Mataifa wa Mitaji ya Maendeleo (UNCDF), ...Prof. Lipumba amdai IGP Sirro saa yake
Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Prof. Ibrahim Lipumba amemtaka Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania, IGP Simon Sirro kuitafuta saa yake ...Serikali: Kupanda kwa bei ya nyama ni fursa kwa wafugaji
Serikali imesema malalamiko yaliyojitokeza hivi karibuni ya kupanda kwa bei ya nyama nchini yanaashiria ukuaji wa sekta hiyo ambapo wafugaji wameshauriwa kuwa ...Rais wa Burundi, Evariste Ndayishimiye kukagua ujenzi wa SGR, Dar es Salaam
Rais wa Burundi, Evariste Ndayishimiye anatarajiwa kutembelea Bandari ya Dar es Salaam na kukagua ujenzi wa reli ya kisasa (SGR) unaoendelea ...