Siasa
Rais Samia: Msiseme kwamba mama anazunguka sana
Rais Samia Suluhu Hassan amesemakwamba ziara zote anazofanya zinalenga kufungua fursa mbalimbali kwa ajili ya maendeleo ya Tanzania. Akizungumza na wakazi wa ...Hospitali ya KCMC yataja vipimo vya magonjwa 5 inavyotoa bure
Kuanzishwa kwa huduma za kibingwa bobezi katika hospitali hiyo na kuanzisha matibabu na uchunguzi wa saratani pamoja na ujenzi wa wodi ...Historia: Simulizi fupi ya Brigedia Nyirenda walivyopandisha Mwenge wa Uhuru Mlima Kilimanjaro 1961
Mwaka 2021 Kilele cha Mbio za Mwenge Kitaifa kinafanyika mkoani Geita ambapo kinakwenda sambamba na maadhimisho ya Mika 22 ya kifo cha ...Taarifa ya serikali kuhusu ajira 260 za wahandisi
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Utumishi na Utawala Bora, Mohamed Mchengerwa amesema katika kukabiliana na upungufu wa wahandisi nchini, ofisi yake ...RC Mjema ataja vipaumbele 3 vya kwanza Shinyanga
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Sofia Mjema amesema moja ya vipaumbele vyake ni kuanza na kampeni ya kuzuia mimba na ndoa za ...Mali za mtoto wa Rais zauzwa kununua chanjo ya UVIKO19
Wizara ya Sheria ya Marekani imesema kuwa fedha zilizopatikana kwa kuuza mali za Teodoro Nguema Obiang Mangue, Makamu wa Rais wa Equatorial ...