Siasa
Mwanamuziki ajitoa tuzo za AFRIMMA baada ya kushambuliwa kwa kupigia kampeni chama tawala
Mwanamuziki kutoka Zambia, Slapdee amejitoa kwenye kuwania tuzo za muziki baada ya kushambuliwa na mashabiki kutokana na kutumbuiza kwa kilichokuwa chama tawala ...Jaji Mkuu ataja vigezo alivyotumia Rais Samia kumteua Jaji Siyani
Leo Rais Samia Suluhu Hassan amemwapisha Jaji Mustapha Siyani, kuwa Jaji kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzania, akiwa ni mmoja wa viongozi ...Mambo ya kufahamu kuhusu Dkt. Sengati ambaye uteuzi wake umetenguliwa leo na Rais Samia
Leo Oktoba 8, 2021, Rais Samia Suluhu Hassan ametengua uteuzi wa Dkt. Philemeon Sengati, ambaye alikuwa Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga. Tuiangazie ...Rais Dkt. Mwinyi aeleza sababu ya ndege kupokelewa Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Mwinyi amesema kuwa leo imekuwa siku ya historia kufuatia tukio la ...Majaliwa amsimamiza kazi afisa manunuzi aliyejipa zabuni
Waziri Mkuu Kassim amesemamisha kazi Afisa Mipango wa Halamshauri ya Wilaya ya Liwale mkoani Lindi, Omary Chinguile kutokana na ubadhirifu wa fedha ...