Siasa
Rais Samia kugharamia matibabu ya Sativa
Rais Samia Suluhu Hassan ameahidi kugharamia matibabu ya Edgar Mwakabela maarufu ‘Sativa’ aliyetekwa, kujeruhiwa na kutelekezwa msituni Katavi, kuanzia sasa anapoendelea kupatiwa ...Rais wa Msumbiji kufanya ziara nchini Tanzania
Rais wa Jamhuri ya Msumbiji, Felipe Jacinto Nyusi anatarajia kuanza ziara nchini Tanzania kuanzia Julai 1 hadi Julai 04, 2024 kufuatia mwaliko ...Tanzania inaiuzia Zambia mahindi tani 650,000 kukabiliana na njaa
Tanzania inauza mahindi tani 650,000 nchini Zambia ikiwa ni utekelezaji wa makubaliano yaliyofikiwa kufuatia mazungumzo kati ya Rais Samia Suluhu na Rais ...Waziri Makamba ashiriki mkutano wa 45 wa Baraza la Mawaziri wa EAC
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, January Makamba (Mb.) ameongoza ujumbe wa Tanzania kushiriki Mkutano wa Kawaida wa ...Serikali: Rais Mwinyi ataongoza kwa kufuata katiba
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imesema Rais Dkt. Hussein Mwinyi ataendelea kuheshimu utaratibu uliowekwa wa Rais kuchaguliwa kila baada ya miaka mitano ...CCM Zanzibar yapendekeza Dkt. Mwinyi kuongoza kwa miaka saba
Wajumbe wa Sekretarieti ya Kamati Maalum ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar wamepitisha pendekezo la kuishauri Kamati Maalumu kuridhia kuongeza muda wa ...