Siasa
Rais Samia ashangazwa vijana wa Tanzania kukosa maadili
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ameeleza kushangazwa na vijana wa Tanzania kutokuwa na maadili licha ya kuwepo mifumo na taasisi nyingi ...Waziri Gwajima aagiza madaktari wanaopotosha kuhusu Corona wawajibishwe
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Dorothy Gwajima ameliagiza Baraza la Madaktari Tanzania (MAT) kuwachukulia hatua zikiwemo ...Waliopuuza agizo la Rais Samia kushushwa vyeo
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mohamed Mchengerwa amewaelekeza watendaji wa ofisi yake kufanya ...Mahakama yakataa ombi la mawakili wa Sabaya
Mahakama ya hakimu mkazi Arusha, imetupilia mbali pingamizi lililowasilishwa na mawakili wa utetezi katika kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili aliyekuwa Mkuu wa ...Serikali kuzifuta baadhi ya kampuni binafsi za ulinzi
Jeshi la Polisi limesema kuwa litayafuta makampuni binafsi ya ulinzi yasiyofuata sheria za nchi pamoja na masharti ya vibali vyao. Taarifa ya ...Serikali kumulika kodi mashirika yasiyo ya kiserikali
Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amesema Serikali inaandaa kitini ambacho kitatoa mwongozo wa jinsi mashirika yasiyo ya kiserikali yanayofanya kazi kwa ...