Siasa
Tony Blair aeleza anavyovutiwa na uongozi wa Rais Samia
Waziri Mkuu Mstaafu wa Uingereza, Tony Blair amesema Taasisi ya Mabadiliko Ulimwenguni (Tony Blair Institute for Global Change) inaunga mkono jitahada mbalimbali ...Wasifu wa Marehemu William Ole Nasha (1972-2021)
Aliyekuwa Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu, Uwekezaji na Mbunge wa Ngorongoro (CCM), William Tate Ole Nasha alifariki dunia jijini Dodoma Septemba ...Rais Samia awapangia vituo mabalozi wawili, mmoja ahamishwa
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amewapangia vituo vya kazi Mabalozi wafuatao: 1. Balozi Anisa Kapufi Mbega, Mkurugenzi wa Idara ya Diaspora ...Benki ya Dunia yataja maeneo 4 inayotaka kushirikiana na Tanzania
Benki Dunia (WB) imesema ipo tayari kushirikiana na Serikali ya Tanzania katika ununuzi, usafirishaji na utoaji elimu ya UVIKO 19 kwa jamii ...Serikali kupitia kodi kwenye taasisi za kidini
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema Serikali inafanya tathmini kwenye taasisi za kidini ili kubaini zinazofanya biashara elimu na afya na ...TANESCO: Wajamaa na Dunia Mpya ya Biashara
Na Ezekiel Kamwaga TANESCO ni shirika la huduma lakini pia ni shirika la kibiashara. Ndio maana kila mwaka linakaguliwa mahesabu na ripoti ...