Siasa
Rais Samia ajadili hali ya usalama nchini Msumbiji
Rais Samia Suluhu Hassan amefanya mazungumzo na Rais wa Baraza la Umoja wa Ulaya (EU), Charles Michel ambaye ambapo lengo ni kupata ...Fahamu mambo manne yaliyojadiliwa kati ya Rais Samia na Rais wa Benki ya Dunia
Septemba 21, 2021 Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ambaye yupo nchini Marekani kushiriki mkutano wa 76 wa Baraza Kuu la Umoja ...Alichoandika Tundu Lissu baada ya kesi yake kufutwa
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu leo imeifuta kesi ya uchochezi iliyokuwa inamkabili, Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleao (CHADEMA) Tanzania ...Rais Samia aunda timu ya kuandaa mkakati wa kuwainua wanawake
Rais Samia Suluhu Hassan ameunda timu ya wataalamu ambayo inaangalia namna bora kwa Tanzania kufanikiwa katika kupata usawa wa kijinsia wakati wa ...Jaribio la kupindua serikali ya Sudan ladhibitiwa
Serikali ya Sudan imeripoti kuwa kumetokea jaribio la kuipindua serikali kijeshi lakini limedhibitiwa na sasa juhudi za kurejesha hali ya amani linaendelea. ...Rais Samia ataka wananchi wasichukulie kirahisi mabadiliko ya tabia ya nchi
Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, ameshiriki Mkutano wa Umoja wa Mataifa uliojadili athari za mabadiliko ya tabia nchi yanayoikumba dunia na ...