Siasa
Rais Samia ateua wawili akiwa Marekani
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amemteua Yona Killagane kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Ukaguzi na Usimamizi wa ...Kauli ya Malecela kuhusu Machifu na utendaji wa serikali
Siku chache baada ya Rais Samia Suluhu Hassan kusimikwa kuwa Chifu Mkuu wa Machifu wote Tanzania, kisha kupewa jina la Chifu Hangaya, ...Rais Samia kuhutubia Baraza la Umoja wa Mataifa, Marekani
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kesho Septemba 18, 2021 anatarajiwa kuondoka nchini kuelekea New York nchini Marekani kuhudhuria Mkutano wa 76 ...DAR: Wafanyabiashara 45,000 wamefunga biashara na kugeuka Machinga
Wakati serikali ikiwa katika harakati za kutenga maeneo maalum na kuwahamishia wafanyabiashara wadogo, maarufu Machinga kwenye maeneo hayo, imeelezwa kuwa zaidi ya ...Waziri Kijaji awapa waandishi maelekezo ya habari za kuandika
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dkt. Ashatu Kijaji amewataka waandishi wa habari kuchuja kile wanachokiandika, ili kitakachotoka kiwe ni ...Polisi wadaiwa kuzuia kuingia na simu kesi Mbowe
Wakati upande wa Jamhuri ukiendelea kutoa ushahidi wake katika kesi inayomkabili Freeman Mbowe na wenzake watatu, mvutano umeibuka katika geti la kuingia ...